ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,579
- 44,821
Faru JohnKwani huyo chemical ndio kaimba wimbo gani wakuu.
Imegundulika sio bikra?Wanatafuta Kiki.
Ila Kiki za Hip Hop huwa hazinogi wala nini sana sana huyo jamaa mweusi kama Mpoki kaonekana Domo zege.
Na huyo dada baada ya Kiki yake ya kuwa bikra kubuma amekuwa mbunifu safari hii.
Utashangaa wanakuja na wimbo wa pamoja......Dogo kalialia hadi aibu asee. Kwa msichana anaejiamini hii njia sidhani kama itafunction
Mwimbo wa ccmKwani huyo chemical ndio kaimba wimbo gani wakuu.
Ndo kampenda mkuu..unafikir naye hatumiiamekosa wanawake mpaka aende kwa chemical mvuta bangi
Kiki tu hizo usiumize kichwaJames pale ardhi alikua na access na watoto wakali tuu, na jamaa alivyo cool na smart kimwili na kiakili angeweza kuchukua watoto wakali sana, matokeo yake kadata na tom boy asie na sura nzuri wala choo. Haya mambo bana