Rapa Stereo amefunguka ya moyoni na hisia zake kwa Chemical

Wanatafuta Kiki.

Ila Kiki za Hip Hop huwa hazinogi wala nini sana sana huyo jamaa mweusi kama Mpoki kaonekana Domo zege.

Na huyo dada baada ya Kiki yake ya kuwa bikra kubuma amekuwa mbunifu safari hii.
 
hahaaa..chunda bad singa singa noma sana hapo kuna mawili labda ni kiki kuna wimbo wanataka kutoa hivyo ni kiki au mhuni singasinga anataka kutoa bikra maana dada alisema imo vile hajawahi guswa,,ngoja tuone chemical nae atajibu nini ila stereo sio mtu wakufunguka hivyo
 
Wanatafuta Kiki.

Ila Kiki za Hip Hop huwa hazinogi wala nini sana sana huyo jamaa mweusi kama Mpoki kaonekana Domo zege.

Na huyo dada baada ya Kiki yake ya kuwa bikra kubuma amekuwa mbunifu safari hii.
Imegundulika sio bikra?
 
Chemical nae ni mbaya, anauso flani hivi kama akikatwa kichwa huwez ukadhibitisha ni mwanamke kwa kuangalia labda vinasaba "DNA" vihusike.. sasa sijui stereo kazimia niji na dsm ilivyo na watoto wakali vile
 
James pale ardhi alikua na access na watoto wakali tuu, na jamaa alivyo cool na smart kimwili na kiakili angeweza kuchukua watoto wakali sana, matokeo yake kadata na tom boy asie na sura nzuri wala choo. Haya mambo bana
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom