Rapa Stereo amefunguka ya moyoni na hisia zake kwa Chemical

Imegundulika sio bikra?
sio lazima igundulike sio bikra ndio ibume.

Watu tumemthaminisha kwa muonekano wake kweli alistahili kuwa bikra.

So hiyo haikuwahi kuwa Kiki nzuri Kwake bora angesema yeye sio msagaji ingempa Kiki.
 
Hivi hatumii msuba yule jamaa
Hahahaaa, nijuavyo mimi hatumii ganja kabisa. Wapo wanaofkiria labda alistua kidogo kabla ya kwenda kufunguka kwenye media, hata jana kwenye friday night ya sam misago ila napata ukakasi kuamini kua kuna kitu alitumia kabla, labda lakini hatuwezi jua. jana watu walishangaa kinoma kuona mtu mzima kapiga mpaka magoti ya kutosha mbele ya chemical
 
Duu!!!! Hiyo ya Jana nimeikosa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom