figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,852
- 63,365
bibi kizee..bibi gani mkuu??
haaaaaaaaaaaaaaaah huuuuuuu sasa kwanini umzima laptop na nsimu halafu wiwi umitimai hii meseji umitumii nini kusendi hiuiu kityu aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaalHaaaaaaa umemuona bibi anachana mistari huyo,haaaaaaaa nitamuweka asubuhi nishazima laptop.
alilkuwa akihojiwa na mlimani tv katika kijambo cha wiki juu ya miaka 50 ya uhuru.mia
sasa mkuu na hii style yako mpya ya siku hizi ya kuwa unatu'postia' nyuzi mpya hapa halafu unatuacha hewani mi siifagilii, yan kwa nini usiwe unamwaga full datawewe figganigga mzee wa 'mia'!
yupi sasa?Huyu mama mswahili kwelikweli lol
Umebonyeza PLAY kwenye 1st post?yupi sasa?
mmmh mimi siioni hiyo play mkuuUmebonyeza PLAY kwenye 1st post?
mmmh mimi siioni hiyo play mkuu
au pc yangu ya kichina?
bibi gani mkuu??
hamna lolote invisible sijui kaamkia wapi bwana mi hiyo play siioni labda ana lake jambo na huyo bibi anaplay kwake tu lohmkuu vipi imekubari? Mimi natumia simu naweza kuisikia?. Over
hamna lolote invisible sijui kaamkia wapi bwana mi hiyo play siioni labda ana lake jambo na huyo bibi anaplay kwake tu loh