Rangi ya Shahawa(sperm)

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,655
Rangi ya Shahawa ( sperm) unaweza kuwa ishara ya tatizo Fulani la Ki afya
1:whitish to gray color hii ndio rangi ya kawaida ya shahawa(normal sperm color) nyeupe
2:Yellow color- njano hii INA weza mtokea MTU ambaye ajamwaga shahawa kwa muda mrefu pia uwaga inatokana na umri (age),usababishwa na vyakula
3:pink,red and dark brown hii inasababishwa na magonjwa kama gonorreah na maambukizi mengine ivyo unapoona rangi ya shahawa zako imebadirika na kuwa na rangi ya nyekundu,pink au dark brown ni bora uende hospital
Nb:Normal color of sperm ni Nyeupe (Whitish) to gray
 
Back
Top Bottom