Hivi kwanini watu wanapenda kujishughulisha na mambo ambayo hayana maana? Hiyo rangi anaichagua nani na ina maana gani? Ukiambiwa mwaka huu rangi yake ni kama ile ya kinyesi?