Ni njano na kijani.
Sasa kwanini suruali inakua nyeusi na sharti kijani mara nyingi ka sio zote?
Kama kuna mtu mwenye picha ya:-
1. Suruali/skirt nyeusi, sharti njano
2. Shart jeusi, suruali/skirt kijani.
3.Suruali njano, shati kijani and vice versa
Naomba aniwekee tafadhali.