KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,635
- 89,400
we huoni skuiz kujipodoa ishakuwa fashionKwa hiyo sisi wote tutakuwa kama bwana Kigosi eeeh?
we huoni skuiz kujipodoa ishakuwa fashionKwa hiyo sisi wote tutakuwa kama bwana Kigosi eeeh?
Nimekusoma... wengi fuata mkumbo... kama akikutana na huyo dada sijui hata kama atamuangalia au kumuwazia ataangalia vyeupe dawa tu.. ila humu utasikia black is beautiful..Mkuu, kama weupe asilia hamna tabu. Shida ni ule wa dukani a.k.a kununua kansa ya ngazi
Lazimza kwani ndiko tulipotokeaAisee naipenda sana