Rangers fans on there way to Celtic

PAGAN

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
11,789
19,340
Game kubwa kuliko zote kwenye Scottish Premiership ilichezwa leo mchana pale Celtic FC walipowakaribisha Rangers kwenye uwanja wao nyumbani (Celtic Park). Na hivi ndio mashabiki wa Rangers walivyosindikizwa kuingia uwanjani leo...


74dfd903f7c1984512d7ae54867b9252
 
Back
Top Bottom