Range rover new model (2016) inauzwa!!

Kajiuzia mwenyewe.
Maana picha yenyewe na gari yenyewe balaa tupu
400m?lazima TRA wakutafute,tatizo in 2yrs unakuwa kama unaendesha vitz vile,maana kizazi kinakuja kipyaa
 

Mkuu si ungeweka picha yake halisi basi na reg number Zake kuliko hiyo picha ya Google
 
hakuna hata gari iliyouzwa hapo chai ya zamani sana hii...wala gari iliyokua inauzwa.
 

Hizi gari mkuu zina wenyewe ambao hawanunui kwa mategemeo ya kufilisika k/kutwa na kuliuza.Halinunuliwi na wenye vipato vya kubahatisha au kuangukiwa ngekewa au hela ya maganji na udalali bali uwe na shughuli halali inayoweza kukupa faida isiyopungua milion au zaidi kwa siku.Service mbili tu za hiyo gari kwa authorized dealer ni thamani ya vitz/opel nk.Kwao hawategemei kuiuza wanaweka bandani na kununua model watakayo.Makapuku sisi shida hadi kwenye nywele hata lift tu utawaza mara tatu.
 
umechoka kugongea dada zetu huku mitaani , umestukia dili ungeondoka na kg 2.3
 
Nakumbuka nyimbo moja ya mda ya professor j inasema kunawatu wana magali hadi ya million mia mbili kwa wale wezangu na mim wasio amini sijui nin...nimesahau kidogo so yawezekana kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…