92 jerrie
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 7,425
- 17,063
Kuna sehemu nimekosoa range mdau?Mkuu hiyo ishu ipotezee pana hii Audi Q 3 na Q 5 nazo hatuwezi kuzikosoa harafu mnavuka mipaka mpaka Range Rover mna balaa ninyi...au BMW X 5 ya 2018 kuendelea ni jiwe balaa...

hiyo ni kama subaru marekani na hata ukiangalia cost zake za TRA bongo ni kama mil 180 kwaiy ni gari ya kawaida sana...