Range Rover 2022 itakuwa na viti vinne, tano na saba!

Kazi ya insurance ni nini?

Na wamiliki wengi wa hayo magari wanakaa sehemu hakuna bodaboda hata kama wapo ni wale bodaboda wenye akili timamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Insurance inakuja badae wakati nimeshaua mtu...
anyway by the way kuna asilimia gari ikiumia insurance hawalipi IE mchubuko wa rangi sait mirror kuharibika hilo unabeba mwenye gari...
lkn kikubwa inategemea na mkataba wako
 
Back
Top Bottom