thA goD
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 1,943
- 1,856
#mtazamo...
* Kumnunulia demu wako simu

halafu mwanaume mwenzako anamnunulia vocha 
huo ni MWINGILIANO WA MAJUKUMU.
Kumlipia demu wako ada ya chuo
halafu mwanaume mwenzako ananlipia ada ya hostel huo ni MGONGANO WA KIBIASHARA.

...2

Kumnunulia demu wako chupi

halafu mwanaume mwenzako anamvua 
huo ni UVUKAJI WA MIPAKA. 

Ila kumlazimisha demu wako mkafanye mapenzi anakukatalia
halafu mwanaume mwenzako analazimishwa na demu wako wakafanye mapenzi🙂 

huo ni UTUMISHI HEWA.
* Kumnunulia demu wako simu

halafu mwanaume mwenzako anamnunulia vocha 
huo ni MWINGILIANO WA MAJUKUMU.Kumlipia demu wako ada ya chuo