MUUINGILIANO WA MAJUKUMU

barakachaplin

Senior Member
Jan 24, 2014
116
52
Kumnunulia demu wako simu halafu
mwanaume mwenzako anamnunulia vocha

huo ni
MWINGILIANO WA MAJUKUMU.
Kumlipia demu wako ada ya chuo halafu
mwanaume mwenzako ananlipia ada ya hostel
huo ni MGONGANO WA KIBIASHARA.
Kumnunulia demu wako chupi
halafu mwanaume mwenzako anamvua
huo ni UVUKAJI WA MIPAKA. ��
Ila kumlazimisha demu wako mkafanye
mapenzi anakukatalia
�� halafu
mwanaume mwenzako analazimishwa na demu
wako wakafanye mapenzi huo ni
UTUMISHI HEWA.
 
Back
Top Bottom