Habari jamani samahani lakini kwa kuingilia mambo ya watu sababu Mimi si mshabiki wa Arsenal ila Huyu dogo kila akifunga Goli lazima utasikia balaa limetokea alifunga siku Osama alipo uwawa, then akafunga tena siku Gaddafi alipo uwawa, sasa juzi alifunga dhidi ya man city nikasikia shabiki mmoja akisema balaa hilo ndipo nami nikawa aware na current news but habari kubwa niliyoisikia ni kupigwa risasi sheikh Ponda sasa Eti inaweza Kuwa na correlation Kweli na holiday jambo
Sikuwa aware but most of em ambao hupatwa na majanga huusiana na kupigwa risasi
Acha obsession bana...Washabiki wa arsenal bana badala ya kusajili mnaleta utopia ideas hapa halafu ligi ikioamba moto mnaanza kulia lia