Hahaha! Wameitupa baharini kukwepa watu kama wewe lol!hivi rambirambi ya marehemu Osama Bin Laden,inatolewa wapi?na maziko yake yatafanyikia wapi?kama kuna mtu anayecoordinate masuala ya usafiri wa kwenda msibani tuwasiliane kama vp!
Hahaha! Wameitupa baharini kukwepa watu kama wewe lol!
Jaluo unataka kupelekwa guantanamo nini ?ni PM nikutumie no yangu ya m-pesa. Rambi rambi napokea mimi kwa hapa Tz.
ni PM nikutumie no yangu ya m-pesa. Rambi rambi napokea mimi kwa hapa Tz.
kwa hiyo wamepoteza historia ya osama?
hivi rambirambi ya marehemu Osama Bin Laden,inatolewa wapi?na maziko yake yatafanyikia wapi?kama kuna mtu anayecoordinate masuala ya usafiri wa kwenda msibani tuwasiliane kama vp!
ni PM nikutumie no yangu ya m-pesa. Rambi rambi napokea mimi kwa hapa Tz.
Hahaha! Wameitupa baharini kukwepa watu kama wewe lol!
Haaaahaaaa maiti yake sharks washajipatia kitoweo...lol
wametaka aliwe na watu indirectly.............. Sharks and other fishes......people............... ha haaaaaaaaaa
mi nilikua m2 wake wa karibu hivyo ukinipa mm sio mbaya!