Kwetunikwetu
JF-Expert Member
- Dec 23, 2007
- 1,535
- 425
sitoweza kuweka zote au kila kitu hapa, if you are interested jst let me knw i dnt charge kuonana na client ni maelewano tu ukiridhika tunafanya kazi na pia sipokei malipo hadi pale ntakapo kukabidhi kazi yako na ukaridhika nayo..
Acha longolongo.......weka sample hapo niione...! Halafu bei si ungeweka hata range ndio tujue tunasimamia wapi