Ramani ya Nyumba

Nyie acheni ubwege, ramani haiokotwi inadesiiniwa. archetect anaspend five damn yrs chuo kikuu we mtu mzima unaomba JF, ramani unaandaliwa kwa personal reguirement vyumba vingapi na vikaaje, orientation ya plot na upepo, terrain ya kiwanja, location etc wabongo tumezoea short cut kila mahali na haya ndo tunayoyaona mpaka top level. Na ukiona unaomba ramani Jf manake unaenda kujenga squatter area coz kama ni eneo rasmi ungetakiwa kupata building permit, leo unalaumu squater ya manzese kumbe u r about to creat another squater. unataka kujenga nyumba unashindwa kununua ramani ya hata laki 3? teh teh teh!
 
 
kama huna msaada kwake si upite ya nini kutukana .....masihara yako ya kunyimwa ...... Unawaletea watu hadharani jifunze adabu !
malizia mkuu...tehe tehe eti kunyimwa kitumbuaaaaa
 
Nitafute kwa namba hii tuongee biashara,zipo ramani za kila aina ya nyumba. 0753 705 879
 
Watafute wachoraji wa nyumba. Utawaeleza matakwa yako kufuatana na jinsi mchoro utakavyokuwa.
 
Watu wa Mwanza hawajui hata lugha nzuri ya kuomba na kushawishi... Sijui kwa nini...
 
Mkuu, kwa kukusaidia Nenda Google, andika FLOOR PLAN FOUR ROOMS', then angalia kwenye IMAGES utaona picha nyingi, hapo unaweza kuchagua ramani unayoipenda.

Du, jamaa unachekesha kweli! So mtu akitaka kanisa au msikiti au mall afanye hivyo hivyo sio, pia hiyo image yake ya google ataenda kuombea "building permit" sio, na je hiyo image ndio ataenda kusetia nyumba sio!? Kazi kweli.
Basi hata wewe ukiumwa nenda google ugoogle ugonjwa unaoumwa kisha ukanunue dawa umeze!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…