Ramani ya Nyumba hii ni nzuri sana kuijenga.

Ramani ya Nyumba hii ni nzuri sana kuijenga.

Jiwejeusi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2011
Posts
754
Reaction score
133
Wadau, najua humu ndani kuna watu wenye utaalamu wa kuchora ramani. Nimependa ramani ya nyumba yenye features zifuatazo:-
MASTER BEDROOM, iwe na toilets, dressing room na internal minor office.
SITTING ROOM
Iwe na dining room iliyopakana na jiko ambapo kuna dirisha la kutolea chakula.
OTHER TWO ROOMS, zote ziwe na toilets. Jamani kwa mwenye utalamu wa kuchora au wenye ramani ya design hii watuwekee sisi tunaotarajia kujenga. Natanguliza shukrani.
 
Siku hizi unawekwa mlango kati ya dinning na kitchen half ya juu inawekwa kioo mambo ya vidirisha kama duka la ushirika tupa kuleeeeee

Wageni wakija watajisaidia wapi just in case???? Ongeza public toilet

Watoto watasomea wapi na majanga ya elimu unayaona haya!!! Study room is crucial


Three bedroom house ina inconviniences nyingi unless utajenga na servant cottage
 
Ni pm nikupe mchoraji, aliwahi nidisignia almost like your ideas.
 
Back
Top Bottom