Hahaha. Hiyo Ramani ya mwaka gani
Kumbe nyumbani kuna ziwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lake Magomeni
It's true..Kwa hiyo maji yameamua kurudi mahali pake. Wakazi wa hayo maeneo waliyavamia
Waliipuuza wakaanza kufakamia viwanja na kujiona wajanja!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahah kitambo kidogo, jamaa si vichwa ngum
ASANTE KUTUKUMBUSHA MKUUHayo "Maziwa" hayapo tena hapa Dar, Hilo la Magomeni lilikuwa Pale Mwembechai kwenye Shule ya Karume, lilifukiwa na wale waliojenga ile Petro station pale
Hilo la Mwananyamala lilikuwa pale Mahakamani Kinondoni limepakana na Shule ya Msingi, nadhani nalo lilifukiwa na watu wakauziana viwanja
Hilo la Tandale ni kule kama unapakana na sinza, uwanja wa TP
Hahah ulikuwa dalali enzi izo niniHayo "Maziwa" hayapo tena hapa Dar, Hilo la Magomeni lilikuwa Pale Mwembechai kwenye Shule ya Karume, lilifukiwa na wale waliojenga ile Petro station pale
Hilo la Mwananyamala lilikuwa pale Mahakamani Kinondoni limepakana na Shule ya Msingi, nadhani nalo lilifukiwa na watu wakauziana viwanja
Hilo la Tandale ni kule kama unapakana na sinza, uwanja wa TP