Stella Njimbwi
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 882
- 575
Uku mbagala tumejaa wakae ukouko maziwani
Hahah ulikuwa dalali enzi izo nini
Kinondoni shamba[emoji41][emoji41]hivi bado ipo kweli!Haaaa, nimezaliwa na kukulia Dar, hayo maeneo yote yalikua mashamba ya mpunga, miwa na Viazi vitamu
Kinondoni shamba[emoji41][emoji41]hivi bado ipo kweli!