MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 33,569
- 53,582
MK254 lakini Kenya si ndio ninyi wenyewe wazaishaji na wauzaji wakubwa wa TANZANITE?
Rwanda pia mbona ndio wazalishaji na wauzaji wakubwa wa Diamond?
hizi taarifa tumia akili na changanya na zako ni sisi wenyewe tunamalizana
Elewa mada vizuri kabla ya kujibu, Afrika tulihitaji kuwa na viwanda vya kuprocess bidhaa zetu wenyewe, maana hata Mkenya akiuza hiyo Tanzanite ya Tanzania, inabidi ikaboreshwe kwengine. Cha msingi ni nyie kujenga viwanda vya Tanzanite huko huko Tanzania ili kunufaika zaidi ya sasa mnaisafirisha ikiwa malighafi.
haya nimekupa 'Like'Elewa mada vizuri kabla ya kujibu, Afrika tulihitaji kuwa na viwanda vya kuprocess bidhaa zetu wenyewe, maana hata Mkenya akiuza hiyo Tanzanite ya Tanzania, inabidi ikaboreshwe kwengine. Cha msingi ni nyie kujenga viwanda vya Tanzanite huko huko Tanzania ili kunufaika zaidi ya sasa mnaisafirisha ikiwa malighafi.
The same boiling water that softens the potato, hardens the egg. It's about what you're made of, not the circumstances.
Wakenya tusonge mbele.
mungu aliwapendelea sana waafrica