Ramadhani Kichuya VS Jesus Moloko.

Kamgomoli

JF-Expert Member
May 3, 2018
1,865
3,798
Tanzania tumekumbwa na kasumba ya kuwahusudu sana wachezaji wa kigeni na kuwadharau wachezaji wa ndani. Mfano wa wachezaji mwenye kipaji kikubwa kisichozingatiwa ni Kichuya. Ni mchezaji ambae anawazidi ubora wachezaji wengi wa kigeni. Nimemfuatilia mara kadhaa,Km shabiki wa Yanga endapo ikitokea napewa chaguo la kuchagua kati ya Kichuya na Moloko nichague yupi mimi namchukua Kichuya.

Kwanini? Kichuya ana speed,dribbling yake iko vizuri,anamikimbio hatari,anauwezo wa kupiga pasi za mwisho na hata kufunga. Siona sababu ya yeye kuendelea kucheza Namungo. Kichuya level zake ni Simba,Yanga au Azam. Najiuliza mchezaji km Chiko Ushindi kapataje nafasi ya kucheza Yanga km si mambo ya michongo!! Hana maajabu yoyote?!
 
Bro,tatizo kichuya anacheza kufa kupona siku wakichezq na yanga tu
 
Ungewashauri timu yako ya Simba wamrudishe kutoka Simba C ingependeza sana
 
Naona huyu Moloko wengi wamemfahamu baada ya kutua Yanga. Yes Kichuya ana kipaji lakini tujifunze kubalance mambo kama lengo lilikua kumfananisha na Ushindi badilisha hapo kwenye kichwa.
 
Kichuya haiwezi mikimbio ya Moloko. Hata namna ya kuji-position mahali sahihi bado Moloko ni bora sana kuliko Kichuya.
 
Tanzania tumekumbwa na kasumba ya kuwahusudu sana wachezaji wa kigeni na kuwadharau wachezaji wa ndani. Mfano wa wachezaji mwenye kipaji kikubwa kisichozingatiwa ni Kichuya. Ni mchezaji ambae anawazidi ubora wachezaji wengi wa kigeni. Nimemfuatilia mara kadhaa,Km shabiki wa Yanga endapo ikitokea napewa chaguo la kuchagua kati ya Kichuya na Moloko nichague yupi mimi namchukua Kichuya.

Kwanini? Kichuya ana speed,dribbling yake iko vizuri,anamikimbio hatari,anauwezo wa kupiga pasi za mwisho na hata kufunga. Siona sababu ya yeye kuendelea kucheza Namungo. Kichuya level zake ni Simba,Yanga au Azam. Najiuliza mchezaji km Chiko Ushindi kapataje nafasi ya kucheza Yanga km si mambo ya michongo!! Hana maajabu yoyote?!
Iyo mikimbio yake uwa inaonekana kwenye mechi ya yanga tu, mechi nyingine anakuwa kama yikpe aliyechangamka, kiufupi anakamiaga yanga sasa usimlinganishe na wachezaji wakubwa wanaokiwasha muda wote bila kuchagua mechi
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom