Mbimbinho JF-Expert Member Joined Aug 1, 2009 Posts 8,326 Reaction score 7,807 Jul 2, 2014 #1 This is not fair to her and her religion, why ujifanye umefunga wakati si kweli? Ndio madhara ya kulazimishana haya. Kama mtu huwezi si bora ukawa muwazi tu kuliko kujitesa huku, 😡😡😡😡:angry::angry:
This is not fair to her and her religion, why ujifanye umefunga wakati si kweli? Ndio madhara ya kulazimishana haya. Kama mtu huwezi si bora ukawa muwazi tu kuliko kujitesa huku, 😡😡😡😡:angry::angry:
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Jul 2, 2014 #2 Shenzi tu hilo girl halinaga imani kutaka tu mambo ya watu
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Jul 2, 2014 #3 Mh.....
theki JF-Expert Member Joined Nov 1, 2013 Posts 2,721 Reaction score 587 Jul 2, 2014 #4 Yaani hata cha kusema hakuna.............?
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,255 Jul 2, 2014 #5 Dada farkhina taratibu mamaangu ucje ukafuturu bure!
J Jamal naeem Member Joined Jan 10, 2014 Posts 72 Reaction score 20 Jul 2, 2014 #6 Makafiri bhana hamwishi vituko.
G godmasai Senior Member Joined Apr 9, 2013 Posts 102 Reaction score 47 Jul 2, 2014 #7 Jamal naeem said: Makafiri bhana hamwishi vituko. Click to expand... Sasa kafiri nani kama siye huyo aliyevalia baibui,alafu anajifanya muislamu swafi, ndo maana niliandika huu ni mwezi wa wanafiki.
Jamal naeem said: Makafiri bhana hamwishi vituko. Click to expand... Sasa kafiri nani kama siye huyo aliyevalia baibui,alafu anajifanya muislamu swafi, ndo maana niliandika huu ni mwezi wa wanafiki.
TECHMAN JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 2,649 Reaction score 1,128 Jul 2, 2014 #8 farkhina said: Shenzi tu hilo girl halinaga imani kutaka tu mambo ya watu Click to expand... kumbe wamjua eee?
farkhina said: Shenzi tu hilo girl halinaga imani kutaka tu mambo ya watu Click to expand... kumbe wamjua eee?
C CHUAKACHARA JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 12,388 Reaction score 6,482 Jul 2, 2014 #9 farkhina said: Shenzi tu hilo girl halinaga imani kutaka tu mambo ya watu Click to expand... Acha matus si umefunga, sasa unakuwa kama huyo dada!
farkhina said: Shenzi tu hilo girl halinaga imani kutaka tu mambo ya watu Click to expand... Acha matus si umefunga, sasa unakuwa kama huyo dada!
C CHUAKACHARA JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 12,388 Reaction score 6,482 Jul 2, 2014 #10 godmasai said: Sasa kafiri nani kama siye huyo aliyevalia baibui,alafu anajifanya muislamu swafi, ndo maana niliandika huu ni mwezi wa wanafiki. Click to expand... Unajua waislamu wanafunga mchana, wanakula jioni/usiki(daku), wakristo wanafunga usiku, hawali usiku!!! baada ya dinner ngoma draw!
godmasai said: Sasa kafiri nani kama siye huyo aliyevalia baibui,alafu anajifanya muislamu swafi, ndo maana niliandika huu ni mwezi wa wanafiki. Click to expand... Unajua waislamu wanafunga mchana, wanakula jioni/usiki(daku), wakristo wanafunga usiku, hawali usiku!!! baada ya dinner ngoma draw!