Naxria abdalla
Senior Member
- Feb 28, 2025
- 170
- 300
Ramdhani kareem
Hahaha bwashee sio unatuonea wivu bwashee? Waislam tumetunikiwa mtoto mzuri sheikhHii Ramadhan yamoto yamoto hapa kama hatafutwi mtu wakufutulisha basi atafutulishwa yeye!..😅
Unapata dhambi ujue😂😂Hii Ramadhan yamoto yamoto hapa kama hatafutwi mtu wakufutulisha basi atafutulishwa yeye!..😅
mwambie ageuke tuone uzuri...Hahaha bwashee sio unatuonea wivu bwashee? Waislam tumetunikiwa mtoto mzuri sheikh
Aku..Unapata dhambi ujue😂😂
Ukijichanganya tu ovaHii Ramadhan yamoto yamoto hapa kama hatafutwi mtu wakufutulisha basi atafutulishwa yeye!..😅
Sheikh, gari imefunikwa na turubai al -hishmah sheikh 🤔mwambie ageuke tuone uzuri...
Hata kama imefunikwa huwa kuna mituno na mibonyeo inatosha kabisa kueleza picha ya kilichopo ndani..Sheikh, gari imefunikwa na turubai al -hishmah sheikh 🤔
Changanya tende na maziwa 🎶🎶
Niliemtega tyr ameniowa na ameniweka ndani kijana pole mamy🤪🤪