Ramadhani 2019 inaanza lini?

Ramadhani 2019 inaanza lini?

Kadhi kaongea kwa niaba ya Mufti Sheikh wangu...tusichanganye na taarifa ya mufti wa Kenya aliyesema Jumatatu mfungo unaanza.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa mkuu Tumsikilize Mufti au Kadhi Mkuu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Sheikh hebu niweke sawa nisije ipoteza Funga yangu
[emoji1787][emoji2] Naomba niishie hapo kwenye "Kadhi kazungumza kwa niaba ya Mufti"
 
Tunakamilisha mwezi wa Shaaban 30... Hivyo tarehe 1 Ramadhan NI J4.
Karibu Mpendwa tuSumu sawmun Thelathin.
Kwani Masufi wa Tanzania tu ndio mna tarehe zenu ?
Wenzenu wote ulimwengu mzima jana magharibi ilikuwa ni tar 1 Ramadhan isipokuwa ninyi?
Ila sawa tu Kama kweli viongozi wenu ni akina Alhad tutarajie nini?
By the way GoT ndio inaamua.
 
 
Mhhhh,,!!!
Mkuu haya maneno ni mazito saana na yamenigusa saana
JazaaQallah kheyr [emoji1317]
"Waeyaka" shukraan jazeelan.. For a Muslim Kuna mawili tu, aidha awe akisema Mema au anyamaze (thawabu)
Qura'an yafundisha :- " Wa Qul LiNass Hussna " (waambieni watu kwa wema)
Akhui alKareem (Ndg Mpendwa) you and me (we) Can !! Kuboresha mambo mengi...
Kila jema nakutakia..
 
Back
Top Bottom