Kwanza kabla ya yote... Tusameheane, tushikamane na tuungane mkono kea mkono Hadi tukubalike kwa Allah Subahanna wa taala.. Radhi zake ziwe nasi... MFUNGO utaanza keshokutwa jumanne tarehe 7 May 2019... Allah ataqabalie Saumu , Swalatu , Qiraa na Qiyamu Layl na swadaqat... Allahuma AneenWakuu tuekane sawa, kila mmoja anaongea lake..
Wakuu tuekane sawa, kila mmoja anaongea lake..
Kabisa kiongozi, Shukran!Kwanza kabla ya yote... Tusameheane, tushikamane na tuungane mkono kea mkono Hadi tukubalike kwa Allah Subahanna wa taala.. Radhi zake ziwe nasi... MFUNGO utaanza keshokutwa jumanne tarehe 7 May 2019... Allah ataqabalie Saumu , Swalatu , Qiraa na Qiyamu Layl na swadaqat... Allahuma Aneen
Faidi,furahia,JiBariki na jifungie Saumu Lillah imanan wa ihtisaban Lillahi-ta3ala..Kabisa kiongozi, Shukran!
AmiinFaidi,furahia,JiBariki na jifungie Saumu Lillah imanan wa ihtisaban Lillahi-ta3ala..
Fursa hi adhim kea aliye bahatika..
Wangapi walitamani waliingojea kwa hamu na matumaini...ila Mwenyeezzi Mungu hakuwafikia..
Rehma ziwateremkee popote walipo.;; Ameen
Kadhi wa Kenya ametangaza kuonekana Kwa mwezi Leo hivyo kesho juma tatu ni swaum ya ramadhaniWakuu tuekane sawa, kila mmoja anaongea lake..
Tunakamilisha mwezi wa Shaaban 30... Hivyo tarehe 1 Ramadhan NI J4.Kwani TMA hawajatabiri bado?
Acha uroho wewe wenzio wanaanza keshoTunakamilisha mwezi wa Shaaban 30... Hivyo tarehe 1 Ramadhan NI J4.
Karibu Mpendwa tuSumu sawmun Thelathin.
Ahssante.Acha uroho wewe wenzio wanaanza kesho
Usiupotoshe umma Ramadhani imeshaingiaKwanza kabla ya yote... Tusameheane, tushikamane na tuungane mkono kea mkono Hadi tukubalike kwa Allah Subahanna wa taala.. Radhi zake ziwe nasi... MFUNGO utaanza keshokutwa jumanne tarehe 7 May 2019... Allah ataqabalie Saumu , Swalatu , Qiraa na Qiyamu Layl na swadaqat... Allahuma Aneen
Ahi yaa Muslim.. pole pole...tuwe wavumilivu (Mimi na wewe na wenzetu) Allah kajaalia Mwezi siku 30/29 tutaungana mbele huko kuukamilsha... Ramadhan Ina (mafungu 3 kumi la Rehma , kumi la maghifrra na kumi la it min alNarr epuko la Moto)Usiupotoshe umma Ramadhani imeshaingia
View attachment 1089168
Lako ww ni lipi Kwanza?Wakuu tuekane sawa, kila mmoja anaongea lake..
Allahuma Ameen.. BarakaAllahfik.. ujaaliwe Hijja na Umrrah bila kutarajia...AmeenSisi tunaoanza kesho tunawatakia kila LA kheri mnaoanza keshokutwa