Ramadhan Singano "Messi" asajiliwa na TP Mazembe

Ramadhan Singano "Messi" asajiliwa na TP Mazembe

hajielewi huyo,ndio tatizo la kushabikia mpira uzeeni.amemsahau singano wa simba .pale azam wamemu-under use mazembe anaenda kutengenezwa misimu miwili then watu wanapiga pesa
Wabongo wengi hawajielewi hasa wa Simba na Yanga hawajui miaka you Mazembe wamekuwa wakitengeneza wachezaji na kuwauza Ulaya.
Huwa wanakuwa na mchanganyiko mzuri wa vijana na wazoefu Kama singano atakomaa miaka 2 ijayo sita shangaa akimuacha mbali Ajibu wanamuona Bora kwa sasa
 
Singano bado ni mchezaji mzuri. Anahitaji marekebisho kidogo ili aweze kupata mafanikio makubwa.Naamini Mazembe wameona mapungufu yake na watayafanyia kazi.Hongera Rama ila ukapige kazi sasa.
 
Umeona tatizo letu lilipo.watanzania wanatakaga vitu ambavyo viko tayari kwenye peak badala yakutengeneza vyao bila kujua hao tunaowaona wako juu walianzia chini na kuna watu walihusika kuwapika.
Haikuwa Bora? Wakati Simba walikula 4 pale Congo?
Juzi wamemuuza Meshack Elia Anderlect ya Belgium kwa pesa nzuri na ungejua walipomtoa usingeamini.
Singano wamemsaini miaka 5 , mwaka wa Kwanza atakuwa chini ya uangalia uangalizi maalumu kwasababu wanasema technical Yuko vizuri ila fitness ndo tatizo kidogo.
 
Kivipi? Mazembe sio Kama timu zenu za Kariakoo
Mazembe pia wanataka kumsajili dogo Kelvin John wa Serengeti boys na wameahidi kumsomesha lakini wazazi wake wamekuwa waoga kumruhusu wanataka angalau amalize form 4.
Mazembe wanajua wanachofanya
Kibooo..eti amalize form 4..wakati kajamaa kanjemba kale...labda inawezekana lakini..maana Siku hizi kuna private school unasoma want wowote utakao..kwa pesa yako.
 
Singano Karibu Kamalondo, Karibu Stade Mazembe ,Karibu Golf ,KARIBU LUBUMBASHI, RDC

Usihofu ,Kampani iko ya kutosha tu
 
Mkuu Nina Mashaka sana na TP Mazembe maana hata timu ya mwaka huu iliocheza na Simba haikua Bora,na huu usajiri wao Kama wakubahatisha tuu
Haikuwa Bora? Wakati Simba walikula 4 pale Congo?
Juzi wamemuuza Meshack Elia Anderlect ya Belgium kwa pesa nzuri na ungejua walipomtoa usingeamini.
Singano wamemsaini miaka 5 , mwaka wa Kwanza atakuwa chini ya uangalia uangalizi maalumu kwasababu wanasema technical Yuko vizuri ila fitness ndo tatizo kidogo.
Kabisa hata Meshack Elia walimchukua wakamtengeneza na juzi wamemuuza Anderlect ya Belgium
Wabongo wengi hawajielewi hasa wa Simba na Yanga hawajui miaka you Mazembe wamekuwa wakitengeneza wachezaji na kuwauza Ulaya.
Huwa wanakuwa na mchanganyiko mzuri wa vijana na wazoefu Kama singano atakomaa miaka 2 ijayo sita shangaa akimuacha mbali Ajibu wanamuona Bora kwa sasa
Kivipi? Mazembe sio Kama timu zenu za Kariakoo
Mazembe pia wanataka kumsajili dogo Kelvin John wa Serengeti boys na wameahidi kumsomesha lakini wazazi wake wamekuwa waoga kumruhusu wanataka angalau amalize form 4.
Mazembe wanajua wanachofanya
Mkuu umenifurahisha sana
 
Nani kakudanganya Kelvin john hajamaliza form four?
Na source ya habari zako ni wapi?
 
Kila la kheri Ramadhani Singano, mungu akujaalie kheri ufanikishe malengo yako na kuwafurahisha umma wa sisi waTanzania wengi.
 
Hahahaha comment hii pia Shadeeya asipite bila kuisoma; maana toka tuanze usijali Mara tunaambiwa tunasajili wazee, Mara wauza matikiti yani tafrani.
Kwani Uongo Mtani. Mnasajili hadi Wahindi.

Namuona Mtani wangu Penison anaiongezea uzito na ile Post yake ya mwanzo. 😅😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom