Kwani si serikali ya CCM iliyomruhusu awekeze?!!!
Tofautisha Kati ya baadhi ya watendaji wa hovyo na serikali nzima!!
Inauma lakini aiseUko sahihi, uhuni mwingine unafanyika kwa sababu watu wanaamini wataendelea kudumu katika nafasi zao miaka 30.
Na hata wakati mwingine siyo rushwa ila umwinyi wakutaka kusujudiwa watu wajue wewe bosi.Mkuu ni uwezo ama urasimu na mipango ya kutengeneza rushwa?!!!
Uliiona wapi hiyo duniani.Ni jambo zuri na la heri..
Ili kukabiliana na urasimu na upuuzi wa sekta ya umma ni vyema serikali ifikirie kuanza kuajiri kwa mtindo wa mikataba badala ya ajira za kudumu Ili ukionekana mpuuzi unapigwa chini fasta Sana.
Tumia akili kufikiri na sio hisia,kuajiri kwa mtindo wa mikataba ndio nini?,je wapi uliona watu wanafanya kazi pasipo mikataba??.Ni jambo zuri na la heri..
Ili kukabiliana na urasimu na upuuzi wa sekta ya umma ni vyema serikali ifikirie kuanza kuajiri kwa mtindo wa mikataba badala ya ajira za kudumu Ili ukionekana mpuuzi unapigwa chini fasta Sana.
Huyo mtendaji alikuwa wa chama gani? Na aliteuliwa na nani?Kwani si serikali ya CCM iliyomruhusu awekeze?!!!
Tofautisha Kati ya baadhi ya watendaji wa hovyo na serikali nzima!!
Sio kila sekta ni zinahitaki mikataba ya kudumuTumia akili kufikiri na sio hisia,kuajiri kwa mtindo wa mikataba ndio nini?,je wapi uliona watu wanafanya kazi pasipo mikataba??.
Kama ulikuwa una manisha kufanya kazi kwa mikataba ya muda mfupi,nadhani inatakiwa ujifunze zaidi kwa nini Serikali zote duniani ajira za utumishi wa umma ni kwa nini ni za kudumu.
Kuhusu Watumishi wa mma kuwa incompetent, inawezekana ikawa ni kweli au sio kweli-Mimi,wewe na hao Watumishi sote in zao la mfumo wa Serikali hii ya CCM kama wapo hivyo basi lawama ziende kwenye jamii yako na wewe ambao mnashindwa kuchagua viongozi wazuri wa kutengeneza mfumo mzuri wa kiutendaji,kielimu na kiuchumi.
Acha kunyosha vidole,huku chanzo cha matatizo yote ni wewe na jamii yako inayotengeneza mifumo yote ndani ya Nchi.
Ili kukomesha huu upuuzi ni lazima kuwe na mikataba ya mda mfupi,upo sehemu nyingi tuu Duniani.Uliiona wapi hiyo duniani.
Unaamka na ndoto hapo hapo ndio unadhani umegundua jambo la kutikisa dunia?
Wala huna fikra kabisa kuhusu uzembe wa hao wasimamizi wa hao unaotaka waajiriwe kwa mikataba!
Watu wengine sijui akili zenu mmeziokota wapi?
Inaonesha huna kazi na unatafuta kazi! Acha husda kijana. Inaonesha wewe ni mbinafsi-kama sina wote wakose. Hakuna serikali ulimwenguni inaajiri core public servants kwa mikataba ya muda mfupi.Ili kukomesha huu upuuzi ni lazima kuwe na mikataba ya mda mfupi,upo sehemu nyingi tuu Duniani.
Wewe ni moja ya hao watumishi uchwara mnaozingua.
Ila sio wakati wa SamiaUjinga huo huo ndiyo uliofanya tukose kiwanda cha Volkswagen na Wajerumani wakaamua wakipeleke Rwanda. Leo Rwanda inatengeneza gari za umeme, sisi bado tuko kwenye karne iliyopita!
Kwa hili, hongera rais Samia.
Kuna waliowajibishwa kutokana na hii experience au kama kawaida yetu yamekuwa maongezi ya kwenye majukwaa? Kama hakuna accountability usitegemee kupata responsible people period!Ramadhan Ng'anzi mwekezaji wa kiwanda cha Raddy Fiber aliyekutumia na urasimu kwa miaka 6 hatimaye afanikisha uwekezaji huo.
Kwa ukali mh.Rais SSH amewakumbusha watendaji kuachana na mawazo ya kale ambayo yanalirudisha nyuma taifa letu pendwa!!
Kongole kwake mwekezaji huyu kwa kututoa kimasomaso ambaye anakwenda kuajiri vijana wa taifa hili na kuusisimua uchumi wetu!
#SiempreJMT
#NchiKwanza
#KaziInaendeleaKwaKasi&WelediZaidi💪
Kwako Kazi ni ipi? Huna akili..Wewe kufanya husda ni ruksa ila wewe ukiguswa ndio ubinafsi unazaliwa sio?Inaonesha huna kazi na unatafuta kazi! Acha husda kijana. Inaonesha wewe ni mbinafsi-kama sina wote wakose. Hakuna serikali ulimwenguni inaajiri core public servants kwa mikataba ya muda mfupi.