Ramadhan Ng'anzi mwekezaji aliyefanyiwa urasimu wa kusikitisha

investor 'Ramadhan MLANZI', NOT 'Ramadhan Ng'anzi'
Screenshot_20211204-085118.jpg
 
Kwako Kazi ni ipi? Huna akili..Wewe kufanya husda ni ruksa ila wewe ukiguswa ndio ubinafsi unazaliwa sio?

Narudia tena ni wakati muafaka kwa serikali kuanza kuajiri watu kwa mikataba ya mda mfupi,hii ya kudumu inafanya watumishi wanakuwa jeuri na wasiowajibika kama wewe.
Dogo mie ni mwajiri sasa hivi ingawa unadai sina akili. Acha roho ya kwanini, si kila mtu lazima aajiriwe; ukienda nchi kama Kenya au Uganda watu wanajisifu kujiajiri. Wewe unahangaika na kuajiriwa serikalini. Serikali hata ikiajiri kwa mkataba wa muda mfupi haitawaajiri nyote. Kazana na kujiajiri na uwe proud of that
 
Kuna waliowajibishwa kutokana na hii experience au kama kawaida yetu yamekuwa maongezi ya kwenye majukwaa? Kama hakuna accountability usitegemee kupata responsible people period!
Na ndio maana mbambo hujirudiarudia maana wanajua hakuna kuwajubishwa kwa namna itakayotoa fundisho kwa wengine.
 
Ramadhan Ng'anzi mwekezaji wa kiwanda cha Raddy Fiber aliyekutumia na urasimu kwa miaka 6 hatimaye afanikisha uwekezaji huo.

Kwa ukali mh.Rais SSH amewakumbusha watendaji kuachana na mawazo ya kale ambayo yanalirudisha nyuma taifa letu pendwa!!

Kongole kwake mwekezaji huyu kwa kututoa kimasomaso ambaye anakwenda kuajiri vijana wa taifa hili na kuusisimua uchumi wetu!

#SiempreJMT
#NchiKwanza
#KaziInaendeleaKwaKasi&WelediZaidi💪
Dikteta na kundi lake walikuwa wanamuwekea vikwazo vya kila aina,mzee alikuwa na roho mbaya sana
 
Ramadhan Ng'anzi mwekezaji wa kiwanda cha Raddy Fiber aliyekutumia na urasimu kwa miaka 6 hatimaye afanikisha uwekezaji huo.

Kwa ukali mh.Rais SSH amewakumbusha watendaji kuachana na mawazo ya kale ambayo yanalirudisha nyuma taifa letu pendwa!!

Kongole kwake mwekezaji huyu kwa kututoa kimasomaso ambaye anakwenda kuajiri vijana wa taifa hili na kuusisimua uchumi wetu!

#SiempreJMT
#NchiKwanza
#KaziInaendeleaKwaKasi&WelediZaidi💪
Tanzania na Samia raha tupu
 
Bakubaliana na wewe 100%
 
Hali ilikuwa mbaya sana aise
 
Ka uzi kenyewe
hakaelezi hata figisu hizo ni zipi, wala hicho anachozalisha ni nini?! Umeandika kama unakimbizwa
 
Hicho kiwanda kimepata eneo na kimejengwa na kuisha ndani ya miezi 8 ya rais Samia. Safi sana
This should be a mushroom industry.
Kwa miezi 8 ndio kapewa eneo, akanunua cable production sets, zikasafirishwa na kuwa cleared.
Installation ya mitambo ikafanyika, na testing then kiwanda kimefunguliwa December.

Ila, ni ofisi gani ilikwamisha kwa miaka 5? Ni nani mhusika alikwamisha ili awajibike kwa hasara ambayo kamsabishia mwekezaji na Watanzania kwa ujumla kupitia uwekezaji wake?

1638622683396.png

1638622720084.png

Aliekuwa VP awamu ya 5 ni Rais awamu ya 6
Aliekuwa waziri wa Fedha awamu ya 5 ni VP awamu ya 6
PM ni yuleyule awamu ya 5 na 6
Kituo cha uwekezaji kimetoka ofisi ya PM mwezi wa December 2020 na kwenda Ofisi ya Rais, then Mwezi March Madam SSH akarejesha TIC chini ya PM.

Je ni nani aliekuwa anakwamisha ikiwa watendaji wakuu kwenye executive branch ni walewale?
 
Lengo lako lilikuwa nini katika kichwa hicho cha habari, huyu Mama yetu hakuwepo awamu iliyopita? Kwanini hakutoa ushauri kwa namba moja enzi hizo?
Mkuu Nyboma ushauri si SHURUTI......
 
Ramadhan Mlanzi mwekezaji wa kiwanda cha Raddy Fiber aliyekutumia na urasimu kwa miaka 6 hatimaye afanikisha uwekezaji huo.

Kwa ukali mh.Rais SSH amewakumbusha watendaji kuachana na mawazo ya kale ambayo yanalirudisha nyuma taifa letu pendwa!!

Kongole kwake mwekezaji huyu kwa kututoa kimasomaso ambaye anakwenda kuajiri vijana wa taifa hili na kuusisimua uchumi wetu!

#SiempreJMT
#NchiKwanza
#KaziInaendeleaKwaKasi&WelediZaidi💪
Inasikitisha Sana urasimu unaofanywa na watendaji. Mtanzania mwenzenu unamzungushazungusha tu lakini mgeni
 
Back
Top Bottom