Ramadhan Ng'anzi mwekezaji aliyefanyiwa urasimu wa kusikitisha

Inamaana kipindi chote cha JPM alikuwa anaangaishwa? Na yule aliyedhulumiwa na kufungiwa biashara kariakoo, na TRA, JPM aliagiza alipwe na fidia, kwa wajuao alilipwa? H5, hatari sana!
Kuwa na akili naww! Ujenzi gani wa kiwanda utafanyika kwa miezi 8?
 
Stupid jicho NSSF . Kuna urasimu uliopitiliza. Mkurugenzi naona amechoka sana. Mpumzisheni
 
Uko sahihi, uhuni mwingine unafanyika kwa sababu watu wanaamini wataendelea kudumu katika nafasi zao miaka 30.
Nilishawahi kutoa wazo hilo ila wazembe kazini walinishukia kama mwewe kwamba oh experience itapatikana vipi ohh blaa blaa gharama za ku recruit ni kubwa!

Asilimia 80% ya wafanyakazi ambacho wanakifanya huko maofisini kinaweza kufanywa na mtu ambaye ameishia darasa la 7 tu ambaye kapitia shule nzuri ambayo imemfunza lugha na basic computer operations tu!

Mtu kazi yake ni kuingiza entries flani tu kwenye system. Kila kitu kinaji calculate chenyewe yeye ni kutuma email tu kwa boss wake! Akiingia asubuhi anafanya kazi saa 7 baada ya lunch ni muda wa umbeya tu!

Hivi kutuma email kunataka experience gani na ku respond kwa simu za maboss? Kutype barua sijui!

Watu walipwe vizuri kwa muda mfupi waondolewe kuepusha kujenga magenge ya wizi tena hasa wakuu wa idara na wakurugenzi! Hao ndio vinara wa kutengeneza mitandao ya upigaji! 3 years za mshahara mnono kisha kuwaondoa wakajiajiri huko!
 
Inasikitisha Sana urasimu unaofanywa na watendaji. Mtanzania mwenzenu unamzungushazungusha tu lakini mgeni
Acha tu mkuu.....ndio maana DIASPORA wanasita sana kuwekeza nyumbani....

URASIMU URASIMU
RUSHWA RUSHWA RUSHWA
 
Ramadhan Mlanzi mwekezaji wa kiwanda cha Raddy Fiber aliyekutumia na urasimu kwa miaka 6 hatimaye afanikisha uwekezaji huo.

Kwa ukali mh.Rais SSH amewakumbusha watendaji kuachana na mawazo ya kale ambayo yanalirudisha nyuma taifa letu pendwa!!

Kongole kwake mwekezaji huyu kwa kututoa kimasomaso ambaye anakwenda kuajiri vijana wa taifa hili na kuusisimua uchumi wetu!

#SiempreJMT
#NchiKwanza
#KaziInaendeleaKwaKasi&WelediZaidi
Hiki ni kile kiwanda kilichopo kule Mkuranga? Kama ndio jamaa kafanya mambo makubwa sana, kwa mara ya kwanza naenda pale sikutegemea kuwa kile kiwanda ni cha mtanzania tena kutoka Rufiji.

Kiwanda kikubwa sana, kimejengwa vizuri japo kipindi natembelea kilikuwa hakijaisha bado.
 
Hiki ni kile kiwanda kilichopo kule Mkuranga? Kama ndio jamaa kafanya mambo makubwa sana, kwa mara ya kwanza naenda pale sikutegemea kuwa kile kiwanda ni cha mtanzania tena kutoka Rufiji.

Kiwanda kikubwa sana, kimejengwa vizuri japo kipindi natembelea kilikuwa hakijaisha bado.
Haswaaa mkuu....

Ndicho hicho hicho.....

WATANZANIA TUNAWEZA TUKIPATA FURSA👊💪💪

#Siempre JMT🙏
 
Mkuu Nyboma wewe una uelewa mpana sana ila tu sijui wakati mwingine ni kwanini...🤣🤣🤣

Hebu isikilize tena ile HOTUBA aliyoitoa mh. Rais SSH alipokuwa anakifungua hicho kiwanda......

#Siempre JMT🙏
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom