Ramadhan Ng'anzi mwekezaji aliyefanyiwa urasimu wa kusikitisha

Ujinga huo huo ndiyo uliofanya tukose kiwanda cha Volkswagen na Wajerumani wakaamua wakipeleke Rwanda. Leo Rwanda inatengeneza gari za umeme, sisi bado tuko kwenye karne iliyopita!
Kwa hili, hongera rais Samia.
 
Halafu bila aibu Waziri Mwambe nae akahudhuria wkt ni miongoni mwa waliofanya juu chini jamaa asiwekeze hapa.
 
Hii nchi watumishi wengi wa umma hawana malengo ya kuhudumia umma, badala yake wanachowaza ni "napata nini" baada ya kukuhudumia. Roho za ajabu ajabu kabisa, kama hana manufaa anaona kama akikuwezesha wewe utafaidi sana.
 
Inamaana kipindi chote cha JPM alikuwa anaangaishwa? Na yule aliyedhulumiwa na kufungiwa biashara kariakoo, na TRA, JPM aliagiza alipwe na fidia, kwa wajuao alilipwa? H5, hatari sana!
 
Ni jambo zuri na la heri..

Ili kukabiliana na urasimu na upuuzi wa sekta ya umma ni vyema serikali ifikirie kuanza kuajiri kwa mtindo wa mikataba badala ya ajira za kudumu Ili ukionekana mpuuzi unapigwa chini fasta Sana.
Uliiona wapi hiyo duniani.
Unaamka na ndoto hapo hapo ndio unadhani umegundua jambo la kutikisa dunia?

Wala huna fikra kabisa kuhusu uzembe wa hao wasimamizi wa hao unaotaka waajiriwe kwa mikataba!

Watu wengine sijui akili zenu mmeziokota wapi?
 
kabla ya kuwalaumu hao Watumishi wa Umma no vyema kutumia akili kuhoji,Serikali inafanya kazi kwa mfumo na maamuzi ya mwisho ya jambo lolote linaamuliwa katika kikao cha Baraza LA Mawaziri ambaye huyo Samia na wenzake wa CCM ndio wenye idhini ya mwisho.

Ukiona kuna ucheleweshaji wa jambo Fulani jua unatokana na mfumo hovyo was Serikali mlio ichagua nyie wenyewe,Watumishi wa Umma ni Watekelezaji wa maamuzi ya hao mliowachagua nyie

Masuala ya kuwatoa Watumishi wa Umma kafala kwa sidhani kama ni sawa,by the way kwa MTU ambaye huwa hayupo ndani ya mfumo wa kiutumishi Serikalini ni rahisi kwake kusikiliza maneno ya Mwanasiasa na kuweka akilini make kuwa ndivyo ilivyokuwa kumbe uhalisia ni tofauti kabisa.
 
Ni jambo zuri na la heri..

Ili kukabiliana na urasimu na upuuzi wa sekta ya umma ni vyema serikali ifikirie kuanza kuajiri kwa mtindo wa mikataba badala ya ajira za kudumu Ili ukionekana mpuuzi unapigwa chini fasta Sana.
Tumia akili kufikiri na sio hisia,kuajiri kwa mtindo wa mikataba ndio nini?,je wapi uliona watu wanafanya kazi pasipo mikataba??.

Kama ulikuwa una manisha kufanya kazi kwa mikataba ya muda mfupi,nadhani inatakiwa ujifunze zaidi kwa nini Serikali zote duniani ajira za utumishi wa umma ni kwa nini ni za kudumu.

Kuhusu Watumishi wa mma kuwa incompetent, inawezekana ikawa ni kweli au sio kweli-Mimi,wewe na hao Watumishi sote in zao la mfumo wa Serikali hii ya CCM kama wapo hivyo basi lawama ziende kwenye jamii yako na wewe ambao mnashindwa kuchagua viongozi wazuri wa kutengeneza mfumo mzuri wa kiutendaji,kielimu na kiuchumi.

Acha kunyosha vidole,huku chanzo cha matatizo yote ni wewe na jamii yako inayotengeneza mifumo yote ndani ya Nchi.
 
Sio kila sekta ni zinahitaki mikataba ya kudumu
 
Uliiona wapi hiyo duniani.
Unaamka na ndoto hapo hapo ndio unadhani umegundua jambo la kutikisa dunia?

Wala huna fikra kabisa kuhusu uzembe wa hao wasimamizi wa hao unaotaka waajiriwe kwa mikataba!

Watu wengine sijui akili zenu mmeziokota wapi?
Ili kukomesha huu upuuzi ni lazima kuwe na mikataba ya mda mfupi,upo sehemu nyingi tuu Duniani.

Wewe ni moja ya hao watumishi uchwara mnaozingua.
 
Ili kukomesha huu upuuzi ni lazima kuwe na mikataba ya mda mfupi,upo sehemu nyingi tuu Duniani.

Wewe ni moja ya hao watumishi uchwara mnaozingua.
Inaonesha huna kazi na unatafuta kazi! Acha husda kijana. Inaonesha wewe ni mbinafsi-kama sina wote wakose. Hakuna serikali ulimwenguni inaajiri core public servants kwa mikataba ya muda mfupi.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Ramadhan Ng'anzi mwekezaji wa kiwanda cha Raddy Fiber aliyekutumia na urasimu kwa miaka 6 hatimaye afanikisha uwekezaji huo.

Kwa ukali mh.Rais SSH amewakumbusha watendaji kuachana na mawazo ya kale ambayo yanalirudisha nyuma taifa letu pendwa!!

Kongole kwake mwekezaji huyu kwa kututoa kimasomaso ambaye anakwenda kuajiri vijana wa taifa hili na kuusisimua uchumi wetu!

#SiempreJMT
#NchiKwanza
#KaziInaendeleaKwaKasi&WelediZaidi💪
Kuna waliowajibishwa kutokana na hii experience au kama kawaida yetu yamekuwa maongezi ya kwenye majukwaa? Kama hakuna accountability usitegemee kupata responsible people period!
 
Inaonesha huna kazi na unatafuta kazi! Acha husda kijana. Inaonesha wewe ni mbinafsi-kama sina wote wakose. Hakuna serikali ulimwenguni inaajiri core public servants kwa mikataba ya muda mfupi.
Kwako Kazi ni ipi? Huna akili..Wewe kufanya husda ni ruksa ila wewe ukiguswa ndio ubinafsi unazaliwa sio?

Narudia tena ni wakati muafaka kwa serikali kuanza kuajiri watu kwa mikataba ya mda mfupi,hii ya kudumu inafanya watumishi wanakuwa jeuri na wasiowajibika kama wewe.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom