Ramadhan imeleta mshikamano bungeni - Makinda

Status
Not open for further replies.
 
kwenye biashara yangu ya kitimoto imekosa soko kabisa...
 

Ameeen. Wanatakiwa watambue wote wana wajibu wa kuitumikia Tanzania kwanza. Waache kuleta viroja maana bunge lile wakati mwingine mpaka linatia aibu.
 
zomba nae kaanza kuwa kama malaria Sugu na FaizaFoxy Udini Udini...

Huo Mshikamano Bungeni kwa Bajeti za Kukandamiza Wananchi??
 
Last edited by a moderator:
Nawatakia Waislam Wote na Wasio kuwa Waislam Sikukuu Njema...
 

Ramadhani imebadilisha watu wengi wakawa wazuri zaidi, hakika huu ni mwezi mtukufu.


Ramadhan Kareem na Eid Mubarak.
 

Mithali imeaandikwa na nani? nnakuhakikishia huna jibu.

Naona hukupenda maneno ya Spika.
 

Toba ya dhati hata mara 70 kwa siku husamehewa, Mwenyeezi Mungu hachoki kusamehe.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…