RAMA JANGILI kakamatwa kwa technoligia

RAMA JANGILI kakamatwa kwa technoligia

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
4,120
Reaction score
5,119
Nimekiza Clouds jana na leo kuhusu kukamatwa kwa mtoto wa kufikia wa Rais mstaafu wa Zanzibar.
Wadau tushushieni hiyo tecnoljia aliyoitumia jamaa mpaka kumnasa mwizi.
 
Nimekiza Clouds jana na leo kuhusu kukamatwa kwa mtoto wa kufikia wa Rais mstaafu wa Zanzibar.
Wadau tushushieni hiyo tecnoljia aliyoitumia jamaa mpaka kumnasa mwizi.

Una install AVG antivirus kwenye simu then unafungua account kwenye web yao. Mtu anapokuwa na simu yenye hiyo AVG unafanya kulogin kwenye web una sign in kwenye account yako unaweza locate simu yako ilipo, au ku wipe data na mengine
 
Je akiwahi kuondoa battery nitakuwa na uwezo wa kum trace?
 
naidownload sasahv kwny android nakujisajil nianzekuona maujanja
 
Nimekiza Clouds jana na leo kuhusu kukamatwa kwa mtoto wa kufikia wa Rais mstaafu wa Zanzibar.
Wadau tushushieni hiyo tecnoljia aliyoitumia jamaa mpaka kumnasa mwizi.

Inaitwa 'kamata mwizi meeeeeeeeeen' imeasisiwa na marehemu Sharo Milionea
 
Huyu Ndiyo Kiongozi wa kundi la Wezi wa Power Window Tanzania, Rama Jangiri…

​
Huyu ndiyo kiongozi wa kundi la wezi wa power window Tanzania, Rama Jangiri…Hapa ni baada ya kukamatwa huko tegeta akiwa hotelini ...Alikamatwa Baada ya kuiba Vitu kwenye gari ya jamaa mmoja maeneo ya Mbezi katika vitu Alivyoiba ilikuwepo Galaxy Tab ambayo ilikuwa iansoftware ya Kutrack so mwenye nayo akamfuatilia kwa kutrace kutumia GPRS mpaka alipokamatwa Tegeta.

AMA JANGIRI- BOSS WA WAIBA POWER WINDOW ONA VIDEO YAKE AKIKAMATWA

TAHADHARI :: VIDEO INA LUGHA KALI SANA

<font color="#D0D0D0"><span style="font-family: Arial"><strong>
Hili ndiyo tukio halisi l akukamatwa kwa jagiri Rama akiwa kwenye hotel ya Farway baada ya kufuatiliwa kupitia mtandao kufuatia tukio la wizi wa vifaa vya gari na pia Compyuta na simu kutoka kwenye gari la mmoja wa wakazi wa jiji la Dar ambalo sasa wamiliki wa magari wamekuwa na wasiwasi mkubwa kila wanapokuwa wamepaki magari yao kufuati kushamiri kwa wizi wa vifaa mbalimbali uliukuwa ukifadhiliwa n abwana Rama na kundi lake.
 
Last edited by a moderator:
Una install AVG antivirus kwenye simu then unafungua account kwenye web yao. Mtu anapokuwa na simu yenye hiyo AVG unafanya kulogin kwenye web una sign in kwenye account yako unaweza locate simu yako ilipo, au ku wipe data na mengine

Na mie najaribu mkuu, ikifanya kazi mbona itakua bomba
 
lakin kumbuka kuna mapungufu katika hii technology kama
-mwizi aki'disable network access huto weza kumpata.
-mwizi akifanya factory reset huto weza kuipat cm yako
-cm ikizimwa pia hutoweza kumpata
-pia swala la map ni tatizo labda kwa Dar yan mitaa yote ya jiji inaoneka pamoja na majina yake ila huku mikoani mpaka uwe mjini tu inaonesha map ya pale mjini ila ukitoka nje ya mji locator inaonekana lakin haikuambii uko sehemu gani
 
Kwanini hawakumla kiboga?mimi niliibiwa site mirror complite za gx100 gari ikawa kama nyoka!!
 
Naona nyie mnachochea kuvunjika kwa Muungano !!
 
Back
Top Bottom