Rama Father- Muuza chips bora

Rama Father- Muuza chips bora

RAMA BOY

New Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
4
Reaction score
0
huyu jamaa ni mkali kwa mambo ya kuuza nakupika chips nouma sana anapatikana njia panda kitunda nasio mwingine anaitwa rama father namba ya simu 0719563966 yap umeipata hiyo bandugu
 
Kitunda kupitia Gongo la mboto upande wa Chadibwa?

Kitunda kupitia matembele mkabala na nyumba ya Mbunge Mwaiposa?

Kitunda kukatisha moja moja kutoka KM Magereza kuvuka ule mto kuja Kitunda relini?

Wapi hasa Rama boy anapatikana?
 
Mtaani kwetu chips ni kama viazi pika.
Ungekuja kuweka tawi huku.
 
huyu jamaa ni mkali kwa mambo ya kuuza nakupika chips nouma sana anapatikana njia panda kitunda nasio mwingine anaitwa rama father namba ya simu 0719563966 yap umeipata hiyo bandugu

Njia panda kitunda wapi ilipo je pale banana?
 
Back
Top Bottom