Kwani huwezi kumsifia hivi hivi bila kuponda wengine? Sasa nani atasubiri? Kwani anashindana na nani huyo rama dee? Au ndio mshazoeshwa ujinga wa kushindanisha bila sababu? Rama dee anajua! sawa anajua basi na itoshe tu kusema anajua au si ungeweka huo wimbo watu wausikilize? Huu umbea umbea na majungu sijui mtaacha lini nyinyi!
kiukweli japo miziki ya sa hv mingi ni km kwaito na ya kinaijeria flan hiv...nyie huwa mnasemaga inachezeka cjui...japo me naamini hakuna nyimbo duniani zisizochezeka....sema tu ni vle haujagusa zile style za kucheza unazopenda ww.....point hapa ni hiviiiiiiiiiii japo RnB kibongo hamuikubali ila jamaa ni bonge la fundi anaimba mziki unaoishi na usiochosha masikio nyimbo zake hata miaka 20 ijayo utaendelea kuckiliza.....tufanye 2mor joe makin ft rama dee mwaka wasita au wa saba nadhan lakin kila nikiusikiliza ni km mpya yaan
Rama hakoseagi ata siku moja, ndio king wa RnB bongo....tatizo la rama au grace sio nyota, bali music wanaofanya haueleweki na wengi unajua kibongobongo watu wengi sio wapenzi wa music wengi ni just mashabiki tu.