RAM Company. Bugando Area plot no. 67 REG No. 416087

CathLiv

Senior Member
Mar 11, 2017
112
52
MSAIDIZI WA KAZI ZA NYUMBANI/NDANI.
(MDADA WA KAZI)

Punguza majukumu kwa kupata msaidizi wa kazi za ndani kutoka *Rent A Maid Company* kampuni iliyopewa usajili

"Reg No. 416087."

MDADA/MFANYAKAZI ambaye ana sifa zifuatazo..
Umri miaka 18 na kuendelea. (katiba)
Ana mafunzo ya mapishi bora.
Malezi ya watoto (Umri 0-17)
Anaelimu ya kuwasaidia wanao homeworks
Anayoelimu ya mazingira na utunzaji wa bustani nyumbani.
Kwa mshahara wa laki moja (Tsh. 100,000)
Kizuri zaidi ni kwamba unaweza kubadilishiwa endapo hujaridhika na utendaji kazi wake pia mkataba upo ili kulinda uaminifu baina ya mteja na kampuni.

TUPO: Bugando Mwanza mkabala na kituo cha kulea watoto (SOS Children).
Plot No.67

Karibu tuwasiliane kwa PIGA:0769321005
AU
SMS/WhatsApp 0769321005.

Email:
auctioneertz@gmail.com au
ramtz@yahoo.com
0527e515b5025a8c744c140277def43f.jpg

8c7aed2a03354fe43a0f8aa21bb7c31f.jpg
 
Back
Top Bottom