Rajabu Kiravu

Rajabu Kiravu

yaaaani hiii ndo home of great thinkers sio??????

hatuwezi hata jadili watu kwa data?
bila jazba na emotions?????

hivi huyo kiravu alikuwa na ubavu wa kufanya kingine chochote
na maagizo ya wakubwa wake?????

tunamshambulia mtu asiye na hatia

yeye kama alivyo mwenyekiti wa tume ya uchaguzi
hawana ubavu wa kuibishia ccm

yuko wapi tido mhando?????????
Kweli kabisa The Boss mbele ya mafisadi wa Magamba hakuna mwenye ubavu wa kuwabishia...
 
ingekuwa vizuri ukadokeza issue yenyewe inayotatiza ili tuchangie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom