Rajabu Kiravu

Rajabu Kiravu

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,439
wakuu naomba sana mnisaidie nimfahamu mtu anaitwa rajabu kiravu,
huyu bwana alikuwa mkurugenzi wa tume ya uchaguzi,
kwa jinsi alivyokuwa akiongea nilishindwa kumwelewa kwa sababu anaongea haraharaka sana,
nahisi kuna siri nzito moyoni mwake,
ni kabila gani,dini gani,naomba nisieleweke vibaya,elimu yake?
asanteni wazee
 
usinikumbushe huyo nyangabu mkuawa kwani yeye ndo mwizi mkuu wa kura zetu.
 
Ni kabila moja nawewe, dini kama yako ya kuabudu siku moja. Elimu hiyo ni ya kumtosha yeye mwenyewe tu na ambayo inaweza kumsaidi Kikwete kushinda uraisi.
 
Ni kabila moja nawewe, dini kama yako ya kuabudu siku moja. Elimu hiyo ni ya kumtosha yeye mwenyewe tu na ambayo inaweza kumsaidi Kikwete kushinda uraisi.

ina maana rajabu kilavu ni mkristo?
 
sina imani kama kikwete anaweza kufanya dili na wachaga
 
wakuu naomba sana mnisaidie nimfahamu mtu anaitwa rajabu kiravu,
huyu bwana alikuwa mkurugenzi wa tume ya uchaguzi,
kwa jinsi alivyokuwa akiongea nilishindwa kumwelewa kwa sababu anaongea haraharaka sana,
nahisi kuna siri nzito moyoni mwake,
ni kabila gani,dini gani,naomba nisieleweke vibaya,elimu yake?
asanteni wazee

Ungesema unataka kujua his professional experience ningekuelewa. Lakini kabila na dini yake? Unafikri ndizo zilizomfanya akaongea vile?
 
Ungesema unataka kujua his professional experience ningekuelewa. Lakini kabila na dini yake? Unafikri ndizo zilizomfanya akaongea vile?

mkuu nipo serious na hii issue,kuna mahali nimemwona nikakumbuka mbali sana,
naomba nipe professional yake
 
Katika watu waliotaka nipasue ka luninga kangu ka kichina ni hili zeee......kwanza aliongea kwa dharau sana, over confidence! X$S!))((#@!1nzi~!
sitaki hata kukumbuka...Jaza mate mic za watu tu
 
Mic kazikuta mjini aliko toka mic ni mbua yamahindi, na kucheka na nyani.
 
Kwanza sura kama una mtoto hataki kula, mpelekee ukamtishie nayo.
 
yaaaani hiii ndo home of great thinkers sio??????

hatuwezi hata jadili watu kwa data?
bila jazba na emotions?????

hivi huyo kiravu alikuwa na ubavu wa kufanya kingine chochote
na maagizo ya wakubwa wake?????

tunamshambulia mtu asiye na hatia

yeye kama alivyo mwenyekiti wa tume ya uchaguzi
hawana ubavu wa kuibishia ccm

yuko wapi tido mhando?????????
 
mkuu nipo serious na hii issue,kuna mahali nimemwona nikakumbuka mbali sana,
naomba nipe professional yake

Mkuu unafikiri hata ukijua profession yake itasaidia? Watu wana professions nzuri tuu lakini wamezipoliticise.
 
kabila =mpare .>muslm asiyesali. alisoma zamani elewa hivyo +ukada jembe na nyundo ya kubomolea Nchi.
 
Sisi watz hatuhitaji kufahamiana kwa ukabila, udini wala anakotoka mtu! Ni upuuzi kabisa kufanya hivyo. Kuhusu elimu mimi sifahamu. Wanaofahamu wataweza kukusaidia. Ingawa kwa watz elimu sio ishu sana kwenye performance ya kazi. Angalia upuuzi alioufanya Chenge, Hosea halafu cheki elimu na profession zao!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom