Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 505
- 887
Watanzania wamechoshwa na yanaendelea ndio maana wanatafuta haki na maisha mazuri kwa njia ya maandamano.
So wewe unapambania maslai yako kama wa Tanzania wanavyopambania. So na wewe acha ushamba na uchawa
=============
Kada Wa Chama Cha Mapinduzi Rajab Nyangasa Akiwaonya Wanao hamasisha Maandamano na Kusema kuwa ni Washamba na Wana Roho mbaya Dhidi ya Watanzania
Nyangasa Amesema Hayo Alipokuwa Kwenye Kampeni za Uchaguzi Akimuombea Kura Mgombea Udiwani Kata ya Sandali - Temeke Ndugu Mrisho Hassan Kamba.