Raising Notification Fee from 20,000/- to 300,000/- | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Raising Notification Fee from 20,000/- to 300,000/-

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by HansMaja, Jun 8, 2011.

 1. HansMaja

  HansMaja Member

  #1
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 92
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  This is dangerous especially for a corrupt police department like ours. Huu ni ulaji wa polisi wetu na itawaumiza wanaofanya biashara ya daladala ambao ni wabangaizaji tu
   
 2. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 4,815
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  nani kapandisha gharama hizo?
   
 3. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,361
  Likes Received: 1,339
  Trophy Points: 280
  Lakini kwenye hotuba aliyoisoma nimesikia kama amesema sh 50,000!
   
 4. Tanganyika1

  Tanganyika1 JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 384
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  laki 3? Huyo mwongo. Au alimaanisha elfu 30?
   
 5. M

  Mfwalamanyambi JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2011
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 434
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  I.
  I. Sheria Sheria ya Usalama Barabarani, SURA168
  84. " Mheshimiwa Spika, napendekeza kufanya marekebisho ya Sheria ya Usalama Barabarani, Sura, 168 ili kuongeza ukomo wa kiwango cha faini inayotozwa kwa kufanya makosa wakati wa uendeshaji gari barabarani (Traffic Notification Fee) kutoka shilingi 20,000 hadi shilingi 300,000"

  UBISHIIII TUUUUUUUUUU!!!
   
 6. mchapa shughuli

  mchapa shughuli JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 497
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 80
  jamani mimi mbona nimesikiliza ni 20000hadi 50000 au sikumsikia waziri vizuri..
   
 7. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,620
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Itakuwa neema kubwa kwa hawa Matrwafwiki...kama naona walivyojiandaa...
   
 8. Chuma Chakavu

  Chuma Chakavu JF-Expert Member

  #8
  Jun 9, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,524
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kwa masikio yangu nimesikia ni 50,000
   
 9. Jeni

  Jeni Senior Member

  #9
  Jun 9, 2011
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 199
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Amesema 50000 na ni hivyo hivi kwann watu mnapenda kusema ulichoambiwa kuliko ulichosikia?
   
 10. k

  kasimba123 JF-Expert Member

  #10
  Jun 9, 2011
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 1,229
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  hicho ndicho kilichoandikwa kwenye bajeti
   
 11. m

  mwacheni77 JF-Expert Member

  #11
  Jun 9, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 758
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Ngumu sana kupanda hivyo frm elf 20 mpaka laki3,mm naona kuna makosa ya uchapaji.
   
 12. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #12
  Jun 9, 2011
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,150
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Ingekuwa bora kama waziri angejielekeza kuona kuwa hizo fedha zinafika kunakotakiwa. Mara nyingi watu hulipa notification lakini hawapewi ERV ikiwa na maana kuwa hela zinaingia kwa wajanja.

  Tujiulize kwa nini polisi wa usalama wanawalizimisha watu walipie notification kwenye kituo
  Wanaposhikwa ilhali sheria iko wazi kuwa una haki kulipa katika wiki moja katika mahakama au kituo chochote cha polisi.

  Lengo la notification lilikuwa kupunguza msongamano wa mashauri mahakamani kwa kuwafanya watu wakubali makosa mbele ya askari wa usalama barabarani na kulipa faini bila kwenda mahakamani.

  Kwa mantiki hii ni makosa madogo ndio yakaingizwa kwenye notification. Sasa kupandisha faini za notification kuwa juu kuliko faini za makosa makubwa inadefeat the whole purpose ya kuwa na notification.

  Ukichukulia makosa ya baiskeli na pikipiki ina maana kuwa ni afadhali uache hiyo baiskeli kituoni na kununua nyingine kuliko kulipa laki tatu. Kwa pikipiki makosa matatu ni bei ya pikipiki moja.

  Waziri na washauri wako rudini kwenye drawing table, either mmekosea big time au mnajitengenezea EPA nyingine.
   
 13. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #13
  Jun 9, 2011
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ukisoma bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2011/12 inasomeka hivi .... [FONT=&quot]84. Mheshimiwa Spika, napendekeza kufanya marekebisho ya Sheria ya Usalama Barabarani, Sura, 168 ili [/FONT][FONT=&quot]kuongeza[/FONT][FONT=&quot] ukomo[/FONT][FONT=&quot] wa kiwango cha faini inayotozwa kwa kufanya makosa wakati wa uendeshaji gari barabarani (Traffic Notification Fee) kutoka shilingi 20,000 hadi shilingi 300,000.[/FONT]
  lakini cha kushangaza waziri amesema ni sh 50,000/- hii kali kweli kweli.... nilimsiki kwa masikio yangu!!
  [FONT=&quot][/FONT][FONT=&quot][/FONT]
   
 14. Kamakabuzi

  Kamakabuzi JF-Expert Member

  #14
  Jun 9, 2011
  Joined: Dec 3, 2007
  Messages: 1,363
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  maneno siyo permanent record kama kilichoandikwa.
  Hivyo kilichoandikwa ndicho sahihi zaidi.
  Si unajua mkulo anajua waTZ (na wabunge walio wengi) ni wavivu wa kusoma? hivyo yawezekana alitamka hicho kiasi kidogo ili msimshambulie, ili mkifika kwenye utekelezaji mshambuliane na polisi - wawatwange 'risasi'
  Kama hatafanya marekebisho yoyote kwa maandishi, then notification fee amependekeza shs 300,000
   
 15. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #15
  Jun 9, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,283
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Labda ni typing error,tutasikia wakati wa kuijadili ukweli ni upi? hata hivyo ulaji kwa traffic umeshaanza kwani hivi sasa ukitanua ni rumande na kesho yake mahakamani,ukikosa fine unakula miezi 3-6! sasa hapo lazima utoe rushwa nono
   
 16. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #16
  Jun 9, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,240
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Alisema toka 20000 kwenda 50000 na tena nilikuwa na askari wakatabasamu>
  Hope alisoma kilichoandikwa!
   
 17. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #17
  Jun 9, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Huo ni ulaji kwa Trafic wa Tanzania
   
Loading...