Raisi wangu magufuli chonde chonde usirudie Yale yale

Ngushi

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
9,069
18,347
Naungana na raisi katika juhudi zake za kupigania Tanzania yetu.
Leo kwenye ripoti ya pili ya kujua ukweli juu ya makinikia moja ya mapendekezo yake ni kuweka hadharani mikataba yote ya madini ili ijadiliwe na bunge.

Naomba raisi wetu JPM ili yasijirudie Yale Yale ya watangulizi wako uweke WAZI mikataba ya mambo makubwa yanayofanywa ndani ya awamu hii

mfano;Ununuzi wa ndege zote,
Ujenzi wa reli ya mwendo kasi ( dar-moro) na mwingine mingi chini ya awamu hii ya tano!
Nadhani kama taifa tutakuwa tumefika mahala pazuri pa uwazi na ukweli!
Vile vile itawasaidia hata awamu zijazo baada yako kupiga mfano huu mzuri utakua uanza!

Kuliko kusikitika kama tumeibiwa sana ilhali tu naendelea kufanya Yale Yale yaliyotufanya tunaibiwa!
 
Suluhisho la yote haya ni Katiba pendekezwa tu kwani japo anajitahidi kuiweka Tanzania sawa ila yale Mapendekezo yaliyomo katika Katiba pendekezwa na Jaji Mstaafu Warioba kama yakitumika yatakuwa msaada mkubwa mno Kwake Yeye kama Rais wetu na sisi Watanzania kiujumla.
 
Kwa ushauri wako huu ndio utaona rangi halisi za JPM!
Nikiri kuwa JPM ameongeza kasi yangu ya kuchukia siasa na wanasiasa!
 
Suluhisho la yote haya ni Katiba pendekezwa tu kwani japo anajitahidi kuiweka Tanzania sawa ila yale Mapendekezo yaliyomo katika Katiba pendekezwa na Jaji Mstaafu Warioba kama yakitumika yatakuwa msaada mkubwa mno Kwake Yeye kama Rais wetu na sisi Watanzania kiujumla.
Ni kweli! Ila mbaya zaidi haamini kama katiba ile ya warioba ingekuwa msaada mkubwa Ndio maana akasema aachwe anyooshe nchi!
 
Tatizo Mkuu nchi haiwezi kunyooshwa kwa sera za kidikteta na MUFILISI. Ni kujidanganya tu.
Ndio maana mimi nia yake njema ambayo huwa anasema huwa hainiingii akilini! Kama kila kitu kinafanyika kwa nia njema anaficha mikataba ya nini?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hakuna nia njema Mkuu ni usanii tu mbele kwa mbele. Kwanini yuko kimya kuhusu mikataba yote ya nchi kupelekwa bungeni!? Anaogopa na kuficha yepi kwenye mikataba hiyo? Iweje mwenye nia nzuri na nchi yetu aendelee kuikumbatia mikataba yote kwa nguvu za ajabu!?

Ni kweli hakuna jipya ni usanii tuu kama wangesikilizwa wapinzan tangu mwanzo walau pakuanzia kungeonekana
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Vita ya wizi haijawahi kuwaacha watu salama.

Magu anaumiza watu wengi sana.
 
Mkuu siamini wanasiasa kwa sababu hata magufuri anafanya mikataba ya vificho Ununuzi wa ndege siri, Mikataba na dangote siri mambo mengi hii ni danganya Toto ya wanasiasa hakuna mpya
 
Si kila mtu ni mwanasiasa.

Wengine wanaabudu utendaji,mnatakiwa muelewe kelele nyingi wakati wote kwa kila jambo zinatafsiliwa kama kuumwa njaa.

Kwa mfano sasa,huungi mkono Ila unaibuka na raisi alikuwa wapi kipindi kile!!!waona mbali tunatafsiri ni njaa zinakusumbua.
 
Mnapenda tu kumuongelea.... eeeeeh

Hongera kwake

Magufuli 2020
Acha umbea we mwanamke! Hapa tunazungumzia masuala ya kitaifa sio tunamzungumzia huyo unayesema tunapenda!
Ili nia njema yake isiwe na shaka
Aweke mikataba wazi mbona hakuna ugumu?
 
Naungana na raisi katika juhudi zake za kupigania Tanzania yetu.
Leo kwenye ripoti ya pili ya kujua ukweli juu ya makinikia moja ya mapendekezo yake ni kuweka hadharani mikataba yote ya madini ili ijadiliwe na bunge.

Naomba raisi wetu JPM ili yasijirudie Yale Yale ya watangulizi wako uweke WAZI mikataba ya mambo makubwa yanayofanywa ndani ya awamu hii

mfano;Ununuzi wa ndege zote,
Ujenzi wa reli ya mwendo kasi ( dar-moro) na mwingine mingi chini ya awamu hii ya tano!
Nadhani kama taifa tutakuwa tumefika mahala pazuri pa uwazi na ukweli!
Vile vile itawasaidia hata awamu zijazo baada yako kupiga mfano huu mzuri utakua uanza!

Kuliko kusikitika kama tumeibiwa sana ilhali tu naendelea kufanya Yale Yale yaliyotufanya tunaibiwa!
ndege zenyewe zomesha haaribika ,
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom