UncleBen
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 9,693
- 12,326
[emoji38][emoji38][emoji38] sawa mkuuHahahaha lol! Usisahau kumuombea Mungu wa Ikulu ili atuletee umoja na mshikamano nchini kupitia vitisho kila kukicha.
[emoji38][emoji38][emoji38] sawa mkuuHahahaha lol! Usisahau kumuombea Mungu wa Ikulu ili atuletee umoja na mshikamano nchini kupitia vitisho kila kukicha.
kuna mtu nilimsikia anasema kapata hiyo kitu hapo juu juzi kati kwenye sherehe gan cjui 🙁🙁🙁miugiza
Je mnataka aamshe zake? andika N kama jibu lako ni ndiyo, S sijui na H kama jibu lako ni hapanakuna mtu nilimsikia anasema kapata hiyo kitu hapo juu juzi kati kwenye sherehe gan cjui 🙁🙁🙁
mkuu una wadhamini wa3 na 9M? Maana hawakawii kusema mchocheziJe mnataka aamshe zake? andika N kama jibu lako ni ndiyo, S sijui na H kama jibu lako ni hapana
Dah huku niliko ni mbali kuliko kuzimu, nauli ya kuja na kurudi ni kama bajeti ya wizara 5 za TZ kwa matumizi ya huko Duniani, pia safari huchukua miaka 2.5 kwa spidi ya mwanga....Media zilituambia Jua lingepatwa duniani mnakoishi hivi lilipatwa kweli?mkuu una wadhamini wa3 na 9M? Maana hawakawii kusema mchochezi
hahahaaaaa kweli mkuu uko vizuri, lilipatwa huku mbeya sijui kwingine ilikuwaje maana chombo chetu cha kutuhabarisha siku hiyo hakikuwa kazini maana kuna ukuta walikuwa wanaurekebisha. karibu konyagi sijui kama huko zipo 😵😵😵Dah huku niliko ni mbali kuliko kuzimu, nauli ya kuja na kurudi ni kama bajeti ya wizara 5 za TZ kwa matumizi ya huko Duniani, pia safari huchukua miaka 2.5 kwa spidi ya mwanga....Media zilituambia Jua lingepatwa duniani mnakoishi hivi lilipatwa kweli?
😳😳😳😳😳hahahaaaaa kweli mkuu uko vizuri, lilipatwa huku mbeya sijui kwingine ilikuwaje maana chombo chetu cha kutuhabarisha siku hiyo hakikuwa kazini maana kuna ukuta walikuwa wanaurekebisha. karibu konyagi sijui kama huko zipo 😵😵😵
Bhulosi ubhoEehhh Mungu fanya miujiza pia
hahahahahahahjEehhh Mungu fanya miujiza pia
Bhulosi ubho
Bhulosi ubho