Raisi wa kwanza wa Kenya ni nani?

Mabel

JF-Expert Member
Sep 1, 2010
1,273
678
Kwenye somo la Uraia mwalimu aliwafundisha watoto kuwa Raisi wa kwanza wa Kenya anaitwa Kenyata.

Kimbembe kwenye Mtihani, mwalimu kauliza na mtoto mmoja akjibu....

Raisi wa kwanza wa Uganda - Ugandata
Raisi wa kwanza wa Tanzania - Tanzaniata
Raisi wa kwanza wa Malawi - Malawita
Raisi wa Sudani - Sudanita
:smile-big:
 
Back
Top Bottom