Si alishasema yy na jiwe ni kitu kimoja!
Mama Samia kwa kusema hivyo alikuwa anafanya siasa tu ingekuwa kweli wale wote waliotemwa na JIWE kama hawafai na wengine wakiitwa mafisadi na kufanyiwa uchunguzi na TAKUKUKURU , Mama asingewateua kwenye serikali yake!!
Prof.Mbarawa na Amosi Makalla walitemwa na JIwe lakini mama amewarudisha; yule alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa National Housing sasa ameteuliwa kuwa kwenye bodi ya TANESCO na hata huyo aliyemteua kuwa Mwenyekiti wa bodi ya TANESCO somebody MOHAMED ISSA mradi wake uliokuwepo enzi ya mkwere [BEST RESULTS NOW] Jiwe alipoingia madarakani aliufuta!!! Kalemani na yule wazirri wa uchukuzi ambao ndio walikuwa majembe ya Jiwe ,mama amewatema!!! She is trying to curve her own legacy!!