Mind set yake ni kuwa uRais ni haki yake mojawapo, maana anasema alipekua Katiba akukuta kumbe anaweza kuendelea, akagundua ni haki yake eti. Anasahau kuwa ana haki ya kugombea pamoja na wengine sambamba kugombea na kupambanishwa tuone kama ana huo uwezo. Mwenye uwezo wa kuchaguliwa na wengi (Majority) ndiyo mwenye haki.