obama ameonyesha okumavu wa hali ya juu wakati alipokuwa akilihutubia bunge la congres,amesema amefurahi kwa kuchaguliwa tena kwa mara ya pili,alijifunza mengi sana kipindi cha miaka minne ya mwanzo,ambayo ilikuwa si rahisi,kuna baadhi ya mambo ambayo hayakufanyika vizuri ambayo yailimpa changamoto nyingi sana.
Amesema anapoanza miaka hii mingine minne,anavipaumbele ambavyo katika hivyo vipaumbele kimoja wapo ni elimu,alikuwa verry brief.
Amesema anapoanza miaka hii mingine minne,anavipaumbele ambavyo katika hivyo vipaumbele kimoja wapo ni elimu,alikuwa verry brief.