Raisi Museveni atangaza vita dhidi ya ufisadi!

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,056
10,721
Ni ahadi aliyotoa baada ya kuapishwa leo!

Cha kushangaza amekuwa raisi wa uganda kwa miaka 30, leo ndio anaaminisha wananchi wake kuwa atapambana na ufisadi katika miaka hii mitano!

Lets wait, Lakini Siasa za afrika ni SIIHASA!
 
Magufuli ndo role model wake kwa sasa, nadhani atajitahidi kuwageuka aliofungamana nao
 
Ni ahadi aliyotoa baada ya kuapishwa leo!

Cha kushangaza amekuwa raisi wa uganda kwa miaka 30, leo ndio anaaminisha wananchi wake kuwa atapambana na ufisadi katika miaka hii mitano!

Lets wait, Lakini Siasa za afrika ni SIIHASA!
A man has the right to change his name to whatever name he wants to be called. So, if Museveni chooses to be called anti-corruption crusader albeit late, we have to respect his wishes and call him so.
 
Ni ahadi aliyotoa baada ya kuapishwa leo!

Cha kushangaza amekuwa raisi wa uganda kwa miaka 30, leo ndio anaaminisha wananchi wake kuwa atapambana na ufisadi katika miaka hii mitano!

Lets wait, Lakini Siasa za afrika ni SIIHASA!
Inawezekana mbona CCM wamebalika?
 
Ni ahadi aliyotoa baada ya kuapishwa leo!

Cha kushangaza amekuwa raisi wa uganda kwa miaka 30, leo ndio anaaminisha wananchi wake kuwa atapambana na ufisadi katika miaka hii mitano!

Lets wait, Lakini Siasa za afrika ni SIIHASA!

Kwa miaka aliyokaa madarakani na Uganda ilipo fisadi wa kwanza ni yeye mwenyewe
 
Kwel lowasa kidume mana ukisoma mada imebadilika toka mseveni mpaka lowasa hongera zake ameamsha sana africa bado mugabe nae ataleta vioja ya kubadili pesa na kutumia tanzania shilingi wakazie lowasa wazidi kutafutana
 
Back
Top Bottom