Raisi Magufuli amegusa ,,wanufaika" sasa moto kuwaka!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Siku zote waliokuwa wanaguswa ni wengine, sasa hapa kwenye Elimu na Shule binafsi amewagusa wenyewe wanufaika wakubwa wa Wizi na Ufisadi, tegemea moto mkubwa kuwaka, Wadosi wa Tanzania ni wabinafsi kuliko maelezo, hawataki ku-share chochote na wasionacho na wala kujishighulisha na Shule zetu za Kata, na kusema wazi wazi hizo ni Shule zenu lkn hapo hapo wanataka kunufaika na kusomeshwa na Serikali kwa gharama ya watoto wasio na uwezo waliosoma Shule za Kata ambazo hamtaki hata tu kushiriki kuziboresha kwa manufaa ya wote.

Nina uhakika Maandamano ya Mangi Kimambi yaliwahi sana, kama yangekuja leo hii bara bara zingefurika, kwa maana sasa kawagusa wenyewe kunako, ...
 
Usishindane na wadosi, hao wameenea dunia nzima mambo yakiwa magumu wanawaachia nchi yenu mwisho mtapigana mapanga.
 
Siku zote waliokuwa wanaguswa ni wengine, sasa hapa kwenye Elimu na Shule binafsi amewagusa wenyewe wanufaika wakubwa wa Wizi na Ufisadi, tegemea moto mkubwa kuwaka, Wadosi wa Tanzania ni wabinafsi kuliko maelezo, hawataki ku-share chochote na wasionacho na wala kujishighulisha na Shule zetu za Kata, na kusema wazi wazi hizo ni Shule zenu lkn hapo hapo wanataka kunufaika na kusomeshwa na Serikali kwa gharama ya watoto wasio na uwezo waliosoma Shule za Kata ambazo hamtaki hata tu kushiriki kuziboresha kwa manufaa ya wote.

Nina uhakika Maandamano ya Mangi Kimambi yaliwahi sana, kama yangekuja leo hii bara bara zingefurika, kwa maana sasa kawagusa wenyewe kunako, ...
Heeee unamaanisha nini unaposema hela za watoto wasio na uwezo? Inamaana hixo ni hela za wasio na uwezo? Sasa Kama Haawana uwezo walizichangaje maana najua hizo hela ni kodi za wananchi na watoa kodi ndio hao unaosema wana uwezo
Halafu issue Kama hii unasema amegusa sehemu Ya mafisadi yani wale waliokwapua 1.5trilion wamekuja tena shuleni daaah, humu kuna watu hawajitambui kabisa
 
Hapo sasa!
 
Hatoi hizo pesa mfukoni kwake. Hizo ni fedha zitokanazo na kodi zetu wananchi kwa ujumla wetu. Kauli ni ya kibaguzi mno lkn si ya kichochezi. Very sad!
 
KWANI SHERIA YA BODI YA MIKOPO ELIMU YA JUU INASEMAJE?MAANA KAMA BADO NI ILE ILIYOTUNGWA NA KINA MASILINGI BASI ANAWAONEA.
 
Sidhani kama maskini anachangia kodi moja kwa moja kama matajiri wansolipa kodi kila kukicha. Iweje leo waseme hela za mikopo ya elimu ya juu ni kodi za maskini. Hey hii sasa ni habari mpya. Tangu lini kuki akatoa maziwa halafu akamgomea ng'ombe kuyanywa eti ni michango ya kuku. Hio ni ndoto ya mchana kweupe. Uhisani wa serikali usizingatie hayo uzingatie utanzania.
 
Serikali yoyote ile Duniani ina jukumu la kulinda na kusaidia masikini, na ndo maana unalipa kodi kwa lazima lkn hauchagui jinsi Serikali inavyopaswa kuitumia!
 
Hii nchi yetu sote. Wote tuna haki sawa. Sii nchi ya maskini pekee yao wala ya matajiri pekee yao.
 
Back
Top Bottom