Raisi Kikwete na Nyerere | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Raisi Kikwete na Nyerere

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by lukindo, Mar 23, 2011.

 1. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,085
  Trophy Points: 280
  Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
  ‎"He was the liberator,the nation builder,the Pan Africanist. He was the internationalist and he was the humanist."Quoting H.E. Jakaya Kikwete @,The Conference on the Legacy of Mwalimu Nyerere,Carleton University,Ottawa,14th March 2011.

  Nimekutana na hii post kwenye facebook kutoka kwa mtu (raia wa UK) aliyekuwa karibu sana na rafiki wa Mwalimu. Nadhani alihudhuria huo mkutano na akawa amefurahishwa na jinsi raisi wetu anavyoendelea kumuheshimu BABA WA TAIFA ndio akaona aipost ili na wengine wasome.

  Kumbe wakienda nje wanaonge tofauti na hapa nyumbani!?

  Mnasemaje juu hii wana JF?
   
 2. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  Wanatambua ila ubishi na umimi zaidi. Anasoma upepo wa nje unasemaje then anazungumza kulingana na mazingira.
   
 3. T

  Taifa_Kwanza JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 443
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkwere anawaogopa wazungu kuliko watanzania, anajua nyerere anaheshimika nje ya nchi kuliko hata hapa nyumbani, hivyo awezi kuexpose unafiki wake
   
 4. s

  seniorita JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 674
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Whatever the intentions behind, what he said about Mwalimu is true and will ever remain so; hakuna kiongozi kama yeye, na ijapokuwa watendaji wake waliharibu sera yake ionekane a failure, Mwalimu wanted the best for every Tanzania and for the whole Africa. His spirit will ever remain with Tanzanians of all ages; he left a great legacy for this Nation and for the whole world....je viongozi wetu waliomfuata watakumukwa kwa lipi? What legacy will they leave after the days on earth are over? ?Na hata kabla ya siku zao kwisha hapa duniani, baada ya utawala wao, what will people say about them? Kama sasa huwasemewi mema je itakuwaje wakitoka madarakani? Mwalimu will always remain a standard for our leaders, a standard that unfortunately (so far) none of them has not come even close to it!!!!! Be aware, wasije wakawekwa kwenye list ya Ocampo.....
   
 5. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,085
  Trophy Points: 280
  Nimekusoma mkuu. Kwa hiyo tutarajie au tusitarajie siku moja kuona heading kama hii??: "The Conference on the Legacy of Daktari Kikwete/Mkapa/Makamba nk, at......University...."
   
 6. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Amesema Mwalimu alikaa ikulu miaka 24 na hakumaliza matatizo yetu
   
Loading...